Banda la DMK Global wakati livyokua linaonekana kabla ya sherehe za Vijimambo hazijaanza
Meza kuu inavyoonekana kwa mapambo ya Aunty Wahida anaeishi hapa DMV
Kutoka kushoto ni Mohammed Matope, Bruno Mazali na Missy Temeke.
Model Rose Kachuchuru
Kulia ni mshereheshaji Sunday Shomari akizungumuza na wageni waliokua wakiingia kwenye sherehe za Vijimambo
Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akipata ukodak moment
Mjasiliamali Phanuel Ligate ambae ni mkurugenzi wa J&P Investment
Mkurugenzi wa DMK Global, Dickson Mkama
Restart wakiandaa meza yao
Wajasiliamali wakiwasili kupanga meza zao
Picha na Dean Nyalusi
1 comment:
Mdau Dj Luke hiyo East african Extravaganza mbona hamjatuwekea kiingilio sisi wezangu na mie.....au ni free??
mbeba box
Post a Comment