MwanaDiaspora Ben Kazora toka Dallas, Texas alonga na VIJIMAMBO na azungumzia East Africa Chamber Of Commerce ni nini MSIKILIZE
WEB YA EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE NI
www.eachamber.com na unaweza wasiliana na Ben Kazora kupitia
EMAIL ADDRESS: chairman@eachamber.com
1 comment:
safi sana Mr.Ben kazora kwa kutupa muamko...Lakini ni kweli Tanzania tumezidi kulala inabidi tuamke hata uku Europe tunazidiwa na wenzetu wakenya na ichi nyinginezo.
Mdau Dresden.(Network Adminstator).
Post a Comment