Jamani mtu akifiwa na mtu wa karibu msimpigie simu immediately. Unadhan i atasema nini. muacheni alizoee jambo ndiyo mum[igie simu. Utamadunmi gani huu wa kupigiana simu? Au hata kuhojiana kwenye vyombo vya habari?
jamani nyie waandishi, ni mapema mno kumhoji mama mfiwa.hiyo ni privacy yao jamaaaani.halafu huwezi kumhoji mama mfiwa analiaa.kwanza yeye mwenyewe masikini kachanganyikiwa na msiba wa mwanae.wahojini wasemaje wao halafu yeye baaaadae akishatulia. sawaa?
Watanzania wote tunaoishi marekani tumepokea msiba wa kanumba kwa huzuni na imani.tunamuombea mungu amlaze pahala pema pepone.gone to soon.Na waandishi wahabari what the fuck u guys doing to my mumy ameondokewa na kipenzi wake you should leave her alone man.she need privacy........peace
4 comments:
Very emotional.... I cried with mom.....
Kanumba RIP

Post a Comment