Kutoka kshoto ni Aunty Sharifa, Sunday Shomari, Mubelwa Bandio na Steven Kanumba.
Steven Kanumba (kati) akiwa na Wadau siku ya mkutano wa Watanzania DMV.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akiongea jambo na Kanumba.
Steven Kanumba (shoto) akiwa naMhe. Balozi na Afaisa Ubalozi Suleiman Saleh.
Kutoka kushoto ni Mama Kimolo, Aunty Sharifa, Steven Kanumba na Aunty Mgaza
Steven Kanuda katika picha ya pamoja na Seif Ameir
Kutoka kushoto ni Steven Kanumba, AJ Ubao, Peter Walden akiwa na mama mwenye nyumba wake.
Kutoka kushoto ni DMK, Steven Kanumba, Abuu Gadaf na Peter Walden
Steven Kanumba.









No comments:
Post a Comment