ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 7, 2012

WIMBO MAALUM KUTOKA KWA FLORA MBASHA KUTOKANA NA KIFO CHA KANUMBA

Steven Kanumba Enzi ya Uhai wake.

Muimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha ambae kwa sasa yupo Marekani kwa mwaliko maalumu anaungana na Watanzanaia wote Duniani kwenye msiba huu mkubwa wa kumpoteza msanii mahili wa Bongo Movie, Steven Kanumba ambae alifariki Usiku wa kuamkia Jumamosi April 7, 12012 Nyumbani kwake Sinza, Flora Mbasha anatoa rambirambi zake kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki hasa kwa kipindi hiki kigumu, Mungu alitoa, Mungu ametwaa na jina lake lihimidiwe.

No comments: