Kutoka kushoto ni Prof. Julius Nyang'oro, Mpwa, Mhe. Balozi na Mama Maganga.
Meza ya Afisa Ubalozi Mindi Kasiga na wageni wake
Didi Vava akiwa na Loveness Mamuya.
Dj Kvelli kutoka Columbus, Ohio akiwa na mama mwenye nyumba wake.
Mpwa akiwa na Lovenss Mamuya
Wadau wakipata kanywaji
Wadau wakiwa The Mirage Hall wakiendelea kusherehekea miaka 2 ya Vijimambo.
Wadau wakiendelea na kanywaji
Wadau wakibadilishana mawili matatu kwenye sherehe ya Vijimambo
Wadau wakisubili zamu ya kwenda kuchukua chakula
Wambura akiwa na mama mwenye nyumba wake.
Kwa picha zaidi Bofya Read More.
Picha kutoka kwa Mdau Aloyce Mbullu
3 comments:
Sawa Dj Luke aka Mpwa naona na wewe sikuizi umekuwa mzee wa ze konoooozz...kama ankal mithupu
Mdau wa vijimambo
WEWE UMESHA HATE WACHENI JAMANI SIKU YA LUKE ILIKUWA
Congratulations Luke. Keep up the excellent work. Wish you all the best, very proud of you.
Alu Kalala-Nyang'oro
Post a Comment