ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 7, 2012

RIO LOUNGE KUCHOMA NYAMA KUANZIA SAA 11 - 3 USIKU

Rio Lounge itafanya nyama Choma kuanzia saa 11 jioni (5 pm) mpaka saa 3 usiku (9pm) leo Jumamosi April 7,2012 kabla ya show ya mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae yupo tayari kuwasha moto muda si mrefu

No comments: