Mdahalo wa wagombea uKatibu. Jumuiya ya waTanzania Washington DC
18 comments:
Anonymous
said...
Cherehani umepata kura zetu.Kinyemi bado maelezo yako yana utata,kuwa mkweli.Ulisema pale Meadowbrook Park,wanawaendorse Sandaly (Kiongozi wako Mkuu TAMCO) na Loveness,kwenye facebook page yako unasema umemuendorse Loveness,unadhani wapiga kura wajinga sana ?
Cherehani Umetulia kaka na uko sawa sawa. Kinyemi Umemomorize vitu na huna fact nzuri .Unaonekana kutokana na Voice interview kwenye SwahiliVilla na hii video. Humtaki Iddi. Na huna sababu za msingi unazozieleza . Utashindwa kaka kama hauko makini.

Aisee Cherehani ni bora kweli.Huyu jamaa mwingine simwelewi elewi mara oh mimi nina masters ya accounting,oh nina fundisha mahesabu high school,oh tutampa mfanyabiashara $50,000 aanzishe subway yake sasa utawapa wangapi hizo hela.Just be realistic and straight to the point,sio mambo kama ya kudanganya toto hapa kama lipumba utawajaza watu mapesa mfukoni. Shawn Rich.
Unapotaja kwa majina wagombea urais na treasure ambao unataka kufanya nao kazi maana yake hauko tayari kufanya kazi na wale ambao hukuwataja. Kinyemi ulikaririwa kumpemnekeza Iddi katika mzungumzo yako hapo awali. Lakini leo umemtaja Loveness publically. This is lack of credibility. Sioni tofauti yako wewe na wale viongozi walipita. Hilo swali lilikuwa very trick, na ungetakiwa kutumia philisophical argument katika kujibu kama mwenzako Cherehani instead of locking youself into a difficult kona. Unapowapangia wapiga kura wamchague Loveness na huyo mweka hazina, what if wote wasipochaguliwa, utamkubali Iddi kuwa bosi wako? Na Iddi mwenyewe hatakuwa tayari kufanya kazi na wewe kutokana na tabia yako ya flip-flop. Unazungumzia mtu akopeshwe $ 50,000. wakati jumuiya imeshindwa hata kulipia ukumbi zaidi ya masaa 3 kwaajili ya kuiangalia katiba na kufanya uchaguzi.Cherehani umetulia na unamajibu mazuri sana, but you have to work on your temperment maana hii ni jumuiya ya hiari na siyo kombania ya jeshi. Otherwise nawapongeza sana kwa kujitokeza na ninawatakia kila laheri.
Cherehani sounds like what we hear from CCM leaders..ALINACHAS..mambo ambayo i dont think he can deliver...Kinyemi has touched real issues that are possible and can be achieved i.e baby seating..life insurance ..is very cheap hata kama unafanya kazi mcdonalds you can afford 25000$ premium life insurance for 11$ per month.Mtu akifa huku tunastruggle sana kuchanga hela za kumsafirisha..Francise is very possible , watanzania tunachohitaji ni kuelimishana..na kushare ideas nimekubaliana na Kinyemi
hapa tusilete ujinga nadhani kiongozi mzuri ni kwamba anashirikiana sasa kama chereani ulikaa mbali na watu ukiangalia kwanza mbona hauna ushirikiano na watu ?hatujawahi kukuona nilikuona kanisani tuu mkumbuke hii sio jumuiya ya kanisa au msikiti ni watanzania tunataka mtu ane fit kila pahali tuache utani mimi nazani kinyemi anafaa zaidi ni mtu anajitolea sana na wewe umekuja kuimba ngonjera zako za kanisa baki kanisani
Guys it is nice concept , But The leadership of non profit is not politiacal leadership, just submitt your resume/CV to reculting committee. Look DC,MD and VA States charity registrations gudelines – it is communities organization not CCM branch. Well done-Viva Vijimbo
chereani anataka mipango ya miaka kumi ijayo wakati jumuiya hakuna mimi naona tuweke jumuiya kwanza halafu ndio mpango mwingine umoja kwanza shule na cv hapa sioni muhimu mtu muhimu hapa ni kwanza aweke jumuiya pamoja aunganishe watu ambae anafaa kabisa ni loveness kinyemi katibu alfu mshika pesa awekwe idd kwa uzoefu wake na cv yake chereani akae kama bodi member itakuwa timu safi mnalionaje hili ???wadau kila mtu acheze na sehemu yake
jamani swala la uongozi lisiwe kama mwanzo wa makundi , mi naona karibu wagombea wote wana mawazo mazuri tu na nia njema,( i mean sio tu nafasi ya ukatibu, hata uenyekiti) kama itawezekana ambao hawatachaguliwa, wawe wajumbe wa kamati.
Kinyemi mbona ulisema unamuindozi Idd na Loveness wote wawili pale Meadowbrook Park? Tuna clip (evedence). Kwa ninavyo jua unaweza piga Kura moja tu- utawapigiaje wawili? kUWA NA MSIMAMO KAKA.
Siwafahamu sana wote hawa wawili lakini kwakuwasikiliza nakubaliana na Cherehani kwamba uongozi uliopita ulikuwa Lez a faire however Cherehani anaonekana atakuwa mtu anayefanya decisions kwakuangalia upepo unaelekea wapi. Mfano:kuna baadhi ya maswali alipoulizwa alikwepa kujibu akasubiri Kinyemi ajibu ndio yeye ajibu e.g. alipoulizwa atoe mawazo yake kuhusu wagombea wa uenyekiti alikwepa lakini baada ya Kinyemi kusema na yeye akasema ameshawasikiliza wote etc etc etc. Kinyemi yeye anaonekana ni mtu muwazi na very neutral i.e. anaweza akafanikiwa sana kujumuisha watu pamoja lakini akawa very slow kwenye ku-move vitu forward i.e. businesses etc. Kufanya kazi na wabongo inaitaji uwe radical kiasi fulani ili vitu viende. So far none of these two have both so its up kwa watanzania kuchagua "the must haves" attributes needed for their coming secretary. Good luck to you all!
Yaani DMV nzima ina watu wawili tu wenye uwezo wa kogombea urais na wawili tu ukatibi. Halafu wapo watu zaidi ya 1000 kazi yao ni kukosoa na kukatisha watu tamaa. Itabidi tutangaze nafasi za kumgobea "trash talking positions" nafikiri wengi tutachukua forms. Sifa kubwa ya watz ni kuwa kila mtu anajua halafu ni vigumu sana kukubali kuwa hatujui. Nafikiri wagombea wote ni mashujaa na pia wanafaa.
Cherehani anaonekana ana jazba,hatuwezi kuwa na kiongozi mwenye jazba watu watamsusia au kumfukuza,anaonekana kama wale walimu wakali wa shule ya msingi hajui kuongea na watu anaonekana mfokaji na mkaripiaji huwezi kuongea na watu wazima hivyo angalia clip utaona hata facial expresini yake ilivyo,ukiwa kiongozi usiwe kama diktekta!hapa wote ni watu wazima sio wa kufokewa,wewe una zile kwamba;hiki kitu nataka kifanyike MARA MOJA<unaonekana unakomandi sana.kura yangu pamoja na familia na marafiki zangu hupati ng'ooo!.haujulikani kabisa wewe.
Sasa wewe cherehani umemesheni ubalozini?ubalozini na uchaguzi wa mwaka huu?kwanini umesema hivyo na mtangazaji naona kwaajili ya muda hakukuuliza but ulitakiwa useme ubalozi umeutajia nini?.usiwe hivyo unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo mdogo wa kijamii hata kama unapata mia darasani.
18 comments:
Cherehani umepata kura zetu.Kinyemi bado maelezo yako yana utata,kuwa mkweli.Ulisema pale Meadowbrook Park,wanawaendorse Sandaly (Kiongozi wako Mkuu TAMCO) na Loveness,kwenye facebook page yako unasema umemuendorse Loveness,unadhani wapiga kura wajinga sana ?
Cherehani Umetulia kaka na uko sawa sawa. Kinyemi Umemomorize vitu na huna fact nzuri .Unaonekana kutokana na Voice interview kwenye SwahiliVilla na hii video. Humtaki Iddi. Na huna sababu za msingi unazozieleza . Utashindwa kaka kama hauko makini.
Cherehani Umetulia kaka na uko sawa sawa. Kinyemi Umemomorize vitu na huna fact nzuri .Unaonekana kutokana na Voice interview kwenye SwahiliVilla na hii video. Humtaki Iddi. Na huna sababu za msingi unazozieleza . Utashindwa kaka kama hauko makini.
Aisee Cherehani ni bora kweli.Huyu jamaa mwingine simwelewi elewi mara oh mimi nina masters ya accounting,oh nina fundisha mahesabu high school,oh tutampa mfanyabiashara $50,000 aanzishe subway yake sasa utawapa wangapi hizo hela.Just be realistic and straight to the point,sio mambo kama ya kudanganya toto hapa kama lipumba utawajaza watu mapesa mfukoni.
Shawn Rich.
Unapotaja kwa majina wagombea urais na treasure ambao unataka kufanya nao kazi maana yake hauko tayari kufanya kazi na wale ambao hukuwataja. Kinyemi ulikaririwa kumpemnekeza Iddi katika mzungumzo yako hapo awali. Lakini leo umemtaja Loveness publically. This is lack of credibility. Sioni tofauti yako wewe na wale viongozi walipita. Hilo swali lilikuwa very trick, na ungetakiwa kutumia philisophical argument katika kujibu kama mwenzako Cherehani instead of locking youself into a difficult kona. Unapowapangia wapiga kura wamchague Loveness na huyo mweka hazina, what if wote wasipochaguliwa, utamkubali Iddi kuwa bosi wako? Na Iddi mwenyewe hatakuwa tayari kufanya kazi na wewe kutokana na tabia yako ya flip-flop. Unazungumzia mtu akopeshwe $ 50,000. wakati jumuiya imeshindwa hata kulipia ukumbi zaidi ya masaa 3 kwaajili ya kuiangalia katiba na kufanya uchaguzi.Cherehani umetulia na unamajibu mazuri sana, but you have to work on your temperment maana hii ni jumuiya ya hiari na siyo kombania ya jeshi. Otherwise nawapongeza sana kwa kujitokeza na ninawatakia kila laheri.
Kinyemi it is time to smell the coffee...you are irrelevant
Cherehani sounds like what we hear from CCM leaders..ALINACHAS..mambo ambayo i dont think he can deliver...Kinyemi has touched real issues that are possible and can be achieved i.e baby seating..life insurance ..is very cheap hata kama unafanya kazi mcdonalds you can afford 25000$ premium life insurance for 11$ per month.Mtu akifa huku tunastruggle sana kuchanga hela za kumsafirisha..Francise is very possible , watanzania tunachohitaji ni kuelimishana..na kushare ideas nimekubaliana na Kinyemi
hapa tusilete ujinga nadhani kiongozi mzuri ni kwamba anashirikiana sasa kama chereani ulikaa mbali na watu ukiangalia kwanza mbona hauna ushirikiano na watu ?hatujawahi kukuona nilikuona kanisani tuu mkumbuke hii sio jumuiya ya kanisa au msikiti ni watanzania tunataka mtu ane fit kila pahali tuache utani mimi nazani kinyemi anafaa zaidi ni mtu anajitolea sana na wewe umekuja kuimba ngonjera zako za kanisa baki kanisani
tukubaliane kinyemi anafaaa sana sana sana yaani ni best
Guys it is nice concept , But The leadership of non profit is not politiacal leadership, just submitt your resume/CV to reculting committee. Look DC,MD and VA States charity registrations gudelines – it is communities organization not CCM branch. Well done-Viva Vijimbo
Rwazi- Paris, France
chereani anataka mipango ya miaka kumi ijayo wakati jumuiya hakuna mimi naona tuweke jumuiya kwanza halafu ndio mpango mwingine umoja kwanza shule na cv hapa sioni muhimu mtu muhimu hapa ni kwanza aweke jumuiya pamoja aunganishe watu ambae anafaa kabisa ni loveness kinyemi katibu alfu mshika pesa awekwe idd kwa uzoefu wake na cv yake chereani akae kama bodi member itakuwa timu safi mnalionaje hili ???wadau kila mtu acheze na sehemu yake
jamani swala la uongozi lisiwe kama mwanzo wa makundi , mi naona karibu wagombea wote wana mawazo mazuri tu na nia njema,( i mean sio tu nafasi ya ukatibu, hata uenyekiti) kama itawezekana ambao hawatachaguliwa, wawe wajumbe wa kamati.
Kinyemi mbona ulisema unamuindozi Idd na Loveness wote wawili pale Meadowbrook Park? Tuna clip (evedence). Kwa ninavyo jua unaweza piga Kura moja tu- utawapigiaje wawili? kUWA NA MSIMAMO KAKA.
Siwafahamu sana wote hawa wawili lakini kwakuwasikiliza nakubaliana na Cherehani kwamba uongozi uliopita ulikuwa Lez a faire however Cherehani anaonekana atakuwa mtu anayefanya decisions kwakuangalia upepo unaelekea wapi. Mfano:kuna baadhi ya maswali alipoulizwa alikwepa kujibu akasubiri Kinyemi ajibu ndio yeye ajibu e.g. alipoulizwa atoe mawazo yake kuhusu wagombea wa uenyekiti alikwepa lakini baada ya Kinyemi kusema na yeye akasema ameshawasikiliza wote etc etc etc. Kinyemi yeye anaonekana ni mtu muwazi na very neutral i.e. anaweza akafanikiwa sana kujumuisha watu pamoja lakini akawa very slow kwenye ku-move vitu forward i.e. businesses etc. Kufanya kazi na wabongo inaitaji uwe radical kiasi fulani ili vitu viende. So far none of these two have both so its up kwa watanzania kuchagua "the must haves" attributes needed for their coming secretary. Good luck to you all!
Gombea cheo hicho mkuu, wewe gombea Ukatibu. Waache wengine WAGOMBANIE

Post a Comment