Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwananidi Maajar akilakiwa na Mpwa mara tu alipofika kwenye sherehe za miaka 2 ya Blog ya Vijimambo zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012 katika ukumbi wa Mirage uliopo Hyattsville, Maryland.
Mpwa akiwa na Mhe. Balozi (kati) na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Dr. Mkama (kulia)
Mhe. Balozi akilakiwa na Missy Temeke (kulia) pamoja na mama wa mitindo, Asya Idarous Khamsin ( wapili toka kulia) alipokua akiingia ukumbini.
Mhe. Balozi akikagua Banda la Mjasilamali Asya Iarous Khamsin
Mhe. Balozi akikagua banda la Pacifica marine
Banda la Restart
Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la Seruwage
Mhe. Balozi akiendelea kukagua Mabanda ya Wadhamini wa sherehe za miaka 2 za Blog ya Vijimambo
Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la Iska Jojo
Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la ESM Travel
Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la WAMATA
Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la DMK Global
Mhe. Balozi akipaokea CD kutoota kwa mwanamziki wa kizazi kipya, Linah
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Mhe. Balozi akikagua Banda la J&P Invesment
Mhe. Balozi akikagua Banda la Metro Tire
Mhe. Balozi akiangalia zawadi ya Ze fulana aliyozawadiwa na Metro Tire
Mhe. Balozi akipokea zawadi kutoka kwa mama mitindo, Asya Idarous Khamsini
Mhe. Balozi akisalimiana na Prof. Julius Nyag"oro wa chuo kikuu cha Carolina ya Kasikazini.
Mpwa akiwa na Mhe. Balozi meza kuu
Mhe. Balozi akikabidhi kombe kwa timu kepteni wa timu ya DMV walioibuka machampioni kwenye Vijimambo 2 years soccer tournament
Mhe. Balozi katika piacha ya pamoja na timu ya DMV.
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa kocha wa timu ya DMV, Jabir Jongo
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa J&P Investment
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa Farida Catering.
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa Iska Jojo Photography
Mhe. Balozi akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa WAMATA
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa Faback fashions.
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa SUREWAGE
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa ESM Travel
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa DMK Global
Mhe. Balzoi akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Umoja Phone.
Mhe. Balozi akipiga picha ya pamoja na wadhamini wa sherehe ya Blog ya VIJIMAMBO
Mhe, Balozi akiongea machache kwenye sherehe za Vijimambo.
Mhe. Balozi akipata chakula.
Mhe. Balozi akipiga picha na wachezaji wa timu ya Burundi kutoka Arizona.
Picha na NY Ebra
Picha na NY Ebra
3 comments:
HONGERA MZEE LUKE VIJI IMEFANA SANA, KAMA TULIVYOWASIKIA WADAU VIJI IKO JUU NA INAKUBALIKA, HONGERA VIJI.
Mdau DC
Very nice bro. keep it up
Hongera Mpwa....
Mdau Phila
Post a Comment