Misa Takatifu Itafanyika Jumapili Tarehe 8 Aprili 2012 Saa 9:00 Mchana. Tujitahidi kushiriki ni adhimisho la ufufuko wa Bwana Yesu.
Nia za Misa:- Nia za kila Mmoja wetu binafsi. Kuombea watakaobatizwa. Kuwakumbuka waliotuaga, Na kuwaombea Wagonjwa wetu.
Mahali:- St. Edward Roman Catholic Church, 901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W. Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216.
Wimbo wetu "Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana. Tutashangilia na kuifurahia". Kila Mmoja awe tayari kuserebuka baada ya misa.
Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi.
No comments:
Post a Comment