Advertisements

Friday, April 13, 2012

MUKUTANO WA CEO SPACE, BETHESDA, MARYLAND ALHAMISI APRIL 12, 2012

 Kutoka kushoto ni Bruno Mazali, Les Brown wakiwa na mdau ambae jina lake alikupatikana walipokua kwenye mkutano wa CEO SPACE (Club ya wajasiliamali Marekani) uliofanyika Bethesda, Maryland alhamisi April 12, 2012
 Bruno Mazalia akijikatia kamnofu kutoka kwa mpishi maalum kutoka Spania
 Wanachama wa CEO SPACE wakipata picha ya pamoja kwenye mkutano wao uliofanyika Bethesda, Maryland katika Hotel ya Hilton.
 Wanachama wa CEO SPACE waliokuja Bethesda ktoka kila pembe ya Marekani wakiwa kwenye mkutano wao wa kila mwaka katika Hotel ya Hilton Alhamisi April 12, 2012.
 Mpiga picha nae akipata picha na mpishi maalum kutoka Spania
 Les Brown akipata picha ya pamoja na Mpishi toka Hispania
 Wanachama wa CEO SPACE wakipata picha ya pamoja.
 Les Brown (kati) mwanachama wa CEO SPACE kutoka Los Angeles California akiwa na wanachama wengine katika picha ya pamoja.
 Ndafu ikiwa imetulia
 Les Brown (kati) akipiga picha ya pamoja na wanachama wenzake
Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo la bruno ni mchoyo wa Information anapenda yeye aonekana kwamba anajua mambo mengi kuliko wana-diaspora wa DMV. huwa anakwenda kwenye haya mamikutano na akisharudi ndiyo anatoa mapicha alikuwa wapi. kwa nini asitupe taarifa kwamba kuna mkutano huu na faida yake ni hii na hivi ndiyo inatakiwa kujiunga?