ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 9, 2012

MWADIASPORA IDDI SANDALY ALONGA NA VIJIMAMBO



 Mwanadiaspora Iddi Sandaly  akielezea historia yake kwa ufupi, na kwa nini amejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais wa Jumuiya DMV, usipolipa Tax ni madhala gani yanaweza kukukuta na kitu gani anachokerwa TRA
MSIKILIZE

7 comments:

ubalozi said...

hongera sana iddi, familia yangu itakupatia kura kaka yangu. hizo ni kura 4. tunataka new faces na new vision na sio watu wale wale wenye mawazo yale yale yaliyosaidia kubomoa jumuiya iliyopita.

Anonymous said...

Mjomba kumbe wewe nikichwa sana. Lakini mbona umekuwa ujionyeshi unajiweka kama mtu wa kawaida sana.

Anonymous said...

kaka yangu Iddi sikujua kama wewe ni kichwa hivyo,hongera.
kutokana na maelezo yako nimegundua kuwa una upeo, unapenda maendeleo, kwahivyo nimeamua kukupa kura yangu,
pia naomba nichukue nafasi hii kuwambia watanzania wenzangu tuchague kiongozi mwenye upeo na mpenda maendeleo,hicho ni kitu muhimu sana.
pia kaka Iddi tunaomba ukipata uongozi uangalie jinsi gani ya kutuinua wabongo hapa hasa ktk nyanja ya elimu, sponsorship kwetu ni ngumu mno.
pia dada Loveness tunaomba sera zako kabla ya jumapili.Ila kwa ufupi Iddi umeni inspire sana tu.

Anonymous said...

Huyo kichwa tangu zamani. Namkumbuka sana enzi zzake mitaa ya M.Qubah, pale Kijitonyama.

Anonymous said...

DC kivuko hicho mkimuachia kiongozi Huyo hamtovuka ,mmezama na mmekwisha. Jamaa katulia huyo.

Anonymous said...

Kaka Iddi, nimependa maelezo yako especially uliposisitizia kuwa kila kitu kinakua documented. That's proffessional. Hope utapa ushindi na watu wakufanya nao kazi vizuri.

Kwa kweli nipo convinced na wewe.

Anonymous said...

jamani acheni kushutumu watu bila sababu kama unataka kupiga kura nenda au acha wewe ulitoaje pesa bila kupewa risiti