ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 8, 2012

MWANADIASPORA IDDI SANDALY KULONGA NA VIJIMAMBO KESHO.

Kesho Jumatatu April 9, 2012 Vijimambo italonga na Mwanadiaspora Iddi Sandaly usiache kumsikiliza akiezea historia yake kwa ufupi, na kwa nini amejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais wa Jumuiya DMV, usipolipa Tax ni madhala gani yanaweza kukukuta na kitu gani anachokerwa TRA
USIKOSE

1 comment:

Anonymous said...

nasubiri kwa hamu ,hasa hilo la tax, na pia atuambie akiwa president tutafaidikaje,ikiwezekana Luka ongea na wagombeaji wote watupe sera zao watatufanyia nini.
kila a kheri kwao.