Advertisements

Thursday, September 3, 2015

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapingia wananchi wa Mpanda, Mkoani Katavi.CHANZO :OTHMAN MICHUZI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akihutubia kwenye Mkutano huo wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea wa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mtapenda, Bi. Pauline Pesnacy, mara baada ya kumnadi kwa wananchi wa Mpanda, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni na kunadi sera zake.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Jonas Kalinde, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Urais, uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku.
Furaha ya Vijana wa Mpanga.
Wanampanga wakiwa wameweka mikono juu kwa ishara ya kutaka Mabadiliko.
Baada ya kupigwa na jua kali, inabidi ajimwabie maji kupunguza ukali wa joto.
Mbunge aliemaliza muda wake wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia kwenye Mkutano huo.
Sehemu ya wanachana na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa.
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha akizungumza na wananchi wa Mpanda.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Jonas Kalinde akizungumza na wanampanda wenzake wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Wakisikiliza kwa Umakini.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akimkabidhi mfano wa funguo, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.

17 comments:

Anonymous said...

Mabadiliko! Hatulali mwaka huu mpaka kieleweke. Tumechoka na umaskini.

Anonymous said...

Hakuna mtu kurudi nyuma! Hakuna kulala mpaka kielweke! Bravo EL. Bravo Ukawa. Brsvo Free. Bravo Chadema. Chadema ni chama na si mtu MMOJA! Treni imekaribia Kufika KIGOMA wewe Slaa unashukia Tabora? Mbona? Bravo NCCR (and by the way Mbatia ana WISDOM!). Thanks Mbatia for all the good words that you UTTERED! That was awesome! Basi, watu wameamua. Mabadiliko ni LOWASSA. Na Lowassa nI MABADILIKO! Bravo CUF. Bravo NLD! God bless you all!

Anonymous said...

This is unbelievable!! Tunaona Tanzania mpya itayoleta maendeleo ya kiuchumi kama jirani zetu Kenya na Rwanda .Tanzania need changes and changes is coming.See those pictures that is Katavi, much appreciate people of Katavi and show support for changes. Mpige kura tarehe 25 octoba 2015 kuindoa CCM ambapo nchi imebadi maskini bila sababu yoyote ukiangalia madini, mbuga za wanyama bado nchi imeshindwa kufanya mabadiliko ya Kiuchumi. Ni sisi wenyewe watanzania ndio tunaweza kuibadili Tanzania na mwaka huu ni mabadiliko.

MDAU UGHAIBUNI

Anonymous said...

KWELI MWAKA HUU NI MWAKA WA LOWASSA KUCHUKUA DOLA.UNAJUA NI HIVI WATANZANIA WENGI WALIKWISHAAMUA KUMCHAGUA LOWASSA NA HAKUNA KIZUIO KIZUIZI LONGOLONGO ITAKAYOBADILI MIOYO YETU.PIGA UA AFE BEKI AFE KIPA LOWASSA NDIYE RAIS WETU WA AWAMU YA TANO TANZANIA ATASHINDA KWA KURA NYINGI SANA SANA KAMA ASILIMIA 80 NA USHEEE.

Anonymous said...

Mmmmmm hii ni shida kila wanavyozidi kuchafua watu wanasafisha, hakika lilopangwa na mungu ccm hamuwezi kupangua mtabomoa sana ila tumechoka
tunataka mabadiliko, nawaasi watanzania wezangu msijisahau ccm ni ile ile hata aje nani hapo mtazidi kuumia tu hawana kipya hao

Anonymous said...

Na bado mungu atawahukumu kwa ubaya wanaonyia baba yenu, twende baba hakuna kurudi nyuma, mabadiliko yatakuja tu kwa nguvu ya mungu.

Anonymous said...

MMEONA KARIAKOO SOKONI, JANA LIMEWEKWA PANGO LA LOWASA LEO LIMESHUSHWA KWA MAAGIZO YA CCM HEBU FIKIRIA HUU NI UUGWANA KWELI NI CHUKI GANI WANAIPANDISHA KWA WANANCHI, WAKATI KILA KONA KUNA MABANGO YA MAKUFULI MBONA HAJASHUSHWA VIJANA TUAMKE TUSIDANGANYIKE KABISA NI MWENDO WA KUWAJIBU KWA VITENDO TUKUTENE TAREHE 25

Anonymous said...

LOL Chama Cha Wachaga!!!

Anonymous said...

Pamoja na kuandaa magoli ya mkono tume na vyama hakikisheni hakuna jura zinazopigwa nje ya real balot box na vyombo vya usalama msikubali jupendelea kwani penye haki oatendeke msiwe na upande mmoja hata kama tawala na ajaye pia mtakuwa naye.

Anonymous said...

What do you mean chama cha wachagga! Whonis mchaga in that issue!? Pull up your mind to bring up a new moving nation od Tanzania!!

Anonymous said...

Muulizeni Sugu alivyolishusha la CCM juzi kule Mbeya kama ulikuwa ni uungwana.

Anonymous said...

Tanzania haiko tayari kuongozwa na mtuhumiwa wa wizi.

Anonymous said...

White Elephant Dream....Unaanza kuhesabu faida kwa kumwachia mwizi duka akuuzie..

Anonymous said...

Kwa mahaba haya,wewe utakuwa mchana tu

Anonymous said...

We, mdau chapa usingizi wako. Siasa za Tanzania ni zaidi ya unavyozielewa wewe.

Anonymous said...

Mungu hakimu wa haki lazima awaaibishe ccm mwaka huu tumewachoka kabisa hawana jipya hata kidogo. Warudishe pesa zetu za Escrow kwanza ndo waendelee na makampeni yao.

Anonymous said...

JAMANI NIWAULIZENI HII RAHA SIO`RAHA?HAWALALI CHAKULA HAKIPITI MSONGO WA MAWAZO WAMEKWIBA SANA; MEREMETA,EPA,ESCROW.TAARIFA YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI [CAG] JUU YA KUGUNDULIKA WIZI WA BILLION 250 MWAKA WA FEDHA 2013/14 INAYOHUSU WIZARA YA UJENZI INAYOONGOZWA NA JOHN POMBE MAGUFULI KUGAWA NA KUGAWANA NYUMBA ZA SERIKALI,PESA ZA SERIKALI YA GADAFFI LIBYA,KAGODA,FEDHA ZA WORLD BANK HAZINA,RUSHWA KUBWA YA WATUMISHI WA TANROADS,RUSHWA VITUO VYA MIZANI NA MLOLONGO NI MREFU UNAENDELEA.TUNASEMA UAMUZI WETU RAIA UPO TAYARI TUNASUBIRI TUU SIKU YA SIKU YAANI OCTOBA 25 TUMNYOE POMBE MAGUFULI KWA KIPIGO CHA KUMUONEA HURUMA.EDWARD NGOYAI LOWASSA ASILIMIA 83;CCM-MAGUFULI ASILIMIA 11 WAGOMBEA WALIOBAKI ASILIMIA 6.JAMANI RAHA SIO RAHA?