Advertisements

Thursday, September 3, 2015

NASHONA yawakilisha Tanzania

Mwana mitindo, Dada Lilian K. Danieli aiwakilisha Tanzania katika maonyesho ya mavazi yaliyofanyika siku ya tarehe 29 mwezi wa nane katika mji wa Silver Spring MD, U.S.A.
Maonyesho hayo ya SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW hufanyika kila mwaka na huwa yanaandaliwa na umoja wa SOUTHERN AFRICAN COMMUNITY USA (SACU) kwa kushirikisha wanajumuhiya kutoka nchi hizo za kusini mwa bara la Afrika na marafiki wa nchi hizo.


Mwanamitindo Lilian akielezea  uzuri wa kivazi cha NASHONA kwa mnunuzi kutoka South Afrika







juu na chini models wakionyesha vivazi vya NASHONA.




 mwanaburudani kutoka Afrika Kusini akionyesha umahiri wa ngoma zao za asilia.
picha kwa hisani ya www.iskajojostudios.com

No comments: