ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 1, 2012

MWANAMUZIKI WA KIZAZI KPYA NDANI YA USIKU WA VIJIMAMBO

Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae siku ya Jumamosi atafanya show kabambe kwenye ukumbi wa Rio uliopo Laurel akishirikiana na wanamuziki wengine wa Washington, DC, AJ Ubao na DirtyHerry ambae anashirikiana na Cici
 Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiimba wimbo wa Taifa kwenye sherehe za miaka 2 ya Vijimambo zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012
 Linah akipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi wa DMK Global, Dickson Mkama.
 Jonson Lwangwana (kushoto) pamoja na Poromota Peter Ligate wakipiga picha ya pamoja na Linah
 Adam Tenga akipiga picha ya pamoja na Linah
 Bruno Mazali akipiga picha ya kumbukumbu na mwanamuziki wa kizazi kipya Linah
 NY Ebra akipata Ukodak moment na Linah
 Charles Kaiza akipata picha  ya pamoja na Linah
 Yusuf mchezaji wa timu ya DMV akipiga picha na Linah
 Bingo Jr akipiga picha ya pamoja na Linah
 Mdau akipata ukodak moment na Linah
 Mdau akipata ukodak moment na Linah
Linah akipica picha ya pamoja na wenyeji wake
Mdau akipata picha ya pamoja na Linah

2 comments:

Anonymous said...

Nice....but mbona watu walio wengi hawakuitikia wito wa "dress to impress"?

Anonymous said...

what do you mean dress to impress