Mhe. Leticia Nyerere Mbunge wa viti maalum CHADEMA akiwa amekaa meza kuu
Wadau kutoka New York wakiwa kwenye sherehe za Vijimambo
Mshereheshaji Sunday Shomari akifanya vitu Vyake
Farida Catering akipata picha ya kumbukumbu
Dr. Hamza Mwamoyo (kulia) akiongea jambo nai Didi Vava ( mwenye kofia nyeusi)
Kushoto ni Jonson akiwa na Ebra NY
Ma Winy Case (kati) akipiga picha na Jonson (shoto) na Andrew waliokuja party ya Vijimambo toka New York
Wadau wakiwa kwenye sherehe ya Vijimambo
Wadau wa Vijimambo wakiwa kwenye sherehe ya Vijimambo
Wadau waliofika kwenye sherehe za Vijimambo wkipata picha ya pamoja
wadau wakipata picha ya pamoja.
Kwa paicha zaid Bofya Read More
Picha na NY Ebra
3 comments:
I liked all things done yesterday. I thank those who provided free food and time. But I did not like the old western music played. We now have very cool Tanzanian music which would have been more entertaining and original than the "night fever" music of the 1980's.
I think kuwa na different types of music ni poa zaidi ,coz sio wote wanaopenda Tanzanian music, na sio wote wanaopenda old skul, na tupo tunaopenda everything from muziki wa kibongo, old skul nk,
upuhuzi mtupu na ushetani tu!!
Post a Comment