ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 1, 2012

VIJIMAMBO SOCCER TOURNAMENT,YAFANA, DMV MACHAMPIONI

Timu ya DMV ambao wamechukua kombe la VIJIMAMBO kwenye Vijimambo soccer Tournament zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012 Capitol Heights, Maryland, mashindano haya yalianzia saa 6 mchana na kumalizikia saa 1 jioni.
Timu ya Stars United Timu mwenyeji wa mashaindano haya.
Timu ya Vitambi FC ya Wakenya wanaoishi DMV
Timu ya Tanzanite kutoka Atlanta, Georgia (GA).
Timu ya Burundi toka Arizona.
Timu ya Malawi kutoka DMV
Picha juu na chini Afisa Balozi Dr. Mkama akifungua mashindano ya VIJIMAMBO soccer tournament na hapa anaikagua timu ya Vitambi FC.
Picha juu na chini Afisa Balozi Dr. Mkama akifungua mashindano ya VIJIMAMBO soccer tournament na hapa anaikagua timu ya Stars United
Mechi ya ufunguzi kati ya Vitambi FC na Stars United
Refa aliyechezesha mechi za Vijimambo soccer tournament, Mohammed, Mmisri anaeishi Virginia (VA)
Timu ya Burundi kutoka Arizona ikifuatilia mpambano wa Stars United na Vitambi FC
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: