New York Tanzania Community
Pongezi kwa Dj Luke na Vijimambo
Jumuiya ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake inatoa pongezi
Nyingi kwa Dj Luke na timu nzima ya Vijimambo Blog kwa kutimiza miaka miwili.Vijimambo imekuwa ni kiunganishi makini cha Watanzania Marekani na sehemu mbalimbali za dunia hususan kwa wanaozungumza kiswahili.Jumuiya yetu inaitakia Vijimambo umri mrefu na ufanisi zaidi ili tupate kufaidika zaidi na zaidi.Pongezi rasmi kwa mwakilishi wake New York Bwana Ibra Nyagaly na shukurani nyingi kwake.Bwana Nyagaly asante sana kwa huduma zako kwa jumuiya yetu.Viva Vijimambo.
Hajji Khamis
Chairman
NYTC
No comments:
Post a Comment