
Mpira umekwisha.Simba imesonga mbele licha ya kufungwa mabao 3-1. Simba imefaidika na bao la ugenini lililofungwa dk. 91. (Awali Simba ilishinda 2-0 jijini Dar es Salaam) Mpira umechezwa hadi dk 95 kuziba za majeruhi. Beki wa Simba alipewa kadi nyekundu kipindi cha kwanza. Simba ikafungwa mabao matatu katika dk za 41, 47 na 52. Mnyama anarejea Dar kwa furaha.
No comments:
Post a Comment