ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 3, 2012

TANGAZO KWA WANAMZIKI WA 18 NA 25

TANGAZO KWA WATANZANIA NITATUMIA FB KUTOA NAFASI NATAFUTA WAIMBAJI KATI YA MIAKA 18 MPAKA 25 MMOJA WA KIUME ANAYE WEZI KUIMBA NA KURAPU NA WAKIKE ANAYE WEZA KUIMBA WOTE WAWE WANAJUA KUIMBA KINGERAZA NA KISWAHILI NA WAWE NA PASIPOTI ,WANAWEZA KUTOMA SAUTI ZAO KUTUMIA EMAILALEX@KAJUMULOUSA.COM SOUTI ZAO ZIWE ZA UKWERI WAIMBE WIMBO WA ZUWENA WA MALIJANI RAJABU NATAKA KUWA SAIDIA WANAMZIKI WA NYUMBANI KUJA KFANYA KAZI NA MIMI KAMA NILIVYO MULETA HUKU MTOTO WA DANDU KOOL JAMES NAITAJI KABLA YA MWISHO WA MWEZI WA TANO NITAKAYE MCHAGUA NITAMLIPIA TIKETI YA KUJA HUKU NA KUMDHAMINI VIZA YA KUFANYA KAZI YA MZIKI USA OK KAZI HIYO HAPO ATAKAYE WEZA NA NINACHANGUA MIMI MWENYEWE

No comments: