Vijimambo nayo ilikuwa moja ya watu waliofika uwanja wa ndege wa John Kennedy (JFK ) New York, kupata picha mbili tatu za Space Shuttle Enterprise iliyotua Ijumaa asubuhi ya April 27, 2012 uwanjani hapo ikitokea Washington, DC.
Space Shuttle Enterprise ikiwa juu ya Boing 747 inayomilikiwa na NASA
Space Shuttle ikiwa juu ya Boing 747 ikikatiza anga katikati ya jiji la New York Ijumaa asubuhi ya April 27, 2012.
No comments:
Post a Comment