Ndugu waTanzania wa DMV, yafuatayo ndiyo majina ya wagombeaji katika nafasi mbali mbali katika Jumuiya kama zinavyo fuatana na majina yao.
A> Wagombeaji wa nafasi ya Uraisi
1> IDDI SANDALY
2> LOVENESS EDWIN MAMUYA
3> GIVENS KASYANJU
B> Wagombeaji wa nafasi ya Katibu Mkuu
1> YACOB KINYEMI
C> Nafasi ya Mweka Hazina
1> GENES MALASY
D> Wajumbe wa Bodi
1> ELISERENA NDEKIMBO KIMOLO
2> AL-AMIN CHANDE
3> MWAMOYO HAMZA
Mpaka sasa hivi ni haya maombi tuliyo yapata, na bado tunachukua
maombi ya wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali. Maombi yanaendelea
kupokelewa mpaka sikutatu kabla ya tarehe ya Mkutano Mkuu, utaofanyika April 15, 2012
Tunashukuru wote kwa moyo wa kujitolea.
Givens Kasyanju
Kaimu Mwenyekiti
No comments:
Post a Comment