ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 5, 2012

AJALI ASUBUHI HII MAENEO YA SOWETO JIJINI MBEYA WA NNE WAJERUHIWA WAKIMBIZWA HOSPITALINI CHANZO MWENDO KASI


 GARI LA ABIRIA LIKIWA LIMEGONGWA NA FUSO LA MIZIGO MUDA MCHACHE ULIO PITA
 HIVI NDIVYO GARI HILO LILIVYO HARIBIKA 
HILI NDILO GARI LILILO SABABISHA AJALI HILO KWA KUWA NA MWENDO KASI
 FUSO AMBALO LILIGONGA GARI LA ABIRIA

BAADHI YA WATU WAKISHANGAA AJALI HIYO

(Picha kwa hisani ya Mbeya Blog)

No comments: