Mpambano ni mkali kweli kweli
Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na Charo Issa wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika Dar es salaam juzi Charo alishinda kwa point.
Bondia Ibrahimu Class kulia akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na bondia Iddy Mnyeke wakati wa mpambano wao wa kutafuta kumi bora iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam juzi mabondia hao walitoka droo ya point 38 kwa 38.
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande na West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.
No comments:
Post a Comment