Advertisements

Monday, May 14, 2012

ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU NYAKE, NC


 Juu na chini ni Watanzania wa North Caroliana wakinunua vitu mbali mbali kutoka kwa mwanamitindo wa kimataifa aliyebobea, Asya Idarous Khamsin alipokua North Carolina kwenye mwaliko maalum kutoka kwenye jumuiya ya Watanzania wa kuko kwenye sherehe za kuadhimisha siku maalum ya kina mama Duniani iliyfanyikia Durham, North Carolina siku ya Jumamosi May 12, 2012.
 Model akipita mbele ya Watanzania wa North Carolina waliojumuika katika kuadhimisha siku ya kina mama Duniani huku akiwa amevaa mavazi kutoka kwa mbunifu gwiji la mitindo, Asya Idarous Khamsin.
Juu na chini ni  Model akipita mbele huku akishangiliwa kwa nguvu zote kwenye siku hii maalum kuadhimisha siku ya kina mama Duniani iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania, NC na Asya Idarous Khamsin kualikwa kama mgeni maalum na kuonyesha Vivazi vyake.
 Juu na chini Model akionyesha vitu vyake
 Model akiwa ndani ya kitu Black & White
Model akitanua nguo kama Tausi
 
Mwanamitindo Asya Idarous Khamsin akipata picha ya pamoja na Models wake alipokua Durham, North Carolina katika kuadhimisha siku ya kina mama Duniani.

Kwa picha zaidi Bofya Read More


1 comment:

Anonymous said...

walipendeza sana na asante mashughuli kwa kutuweka connected na events abroad..