Advertisements

Monday, May 14, 2012

HAFLA YA HAPPY MOTHER'S DAY NC YAFANA

Dj wa kimataifa akinikumbusha enzi zile za kina John Peter Pantalakisi, Dj Agip Show walivyokua wakivipangilia vidudu wakiwa kazini.
 Watanzania wa North Carolina wakiburudika kwenye Hafla maalum iliyotayarishwa na Jumuiya ya Watanzania, NC kuadhimisha siku ya kina mama Duniani Halfa iliyofanyikia Mji wa Durhan.
 Watanzania wa North Carolina wakijumuika pamoja katika Hafla iliyoandaliwa maalum kuadhimisha siku ya kina mama Duniani iliyofanyika Jumamosi May 12, 2012.
 Mama akiwa na mtoto akiadhimisha siku hii maalum kwao kwa Hafla iliyofanyikia Durham, NC.
 Watanzania wa North Carolina wakijumuika pamoja katika Hafla maalum iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania NC.
 Wakina mama wa Durham, NC na vitongoji vyake wakijumuika pamoja.
 Watanzania wa North Carolina wakiwa kwenye Hafla ya kuadhimisha siku ya kina mama Duniani
 Wakina Baba wakiwajumuika na wazazi wenzao ambao ilikua siku maalum kwa wakina mama Duniani kwenye Halfla yao iliyofanyika Durham, NC
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina, Nasoro Basalama akiongea machache kuhusu Jumuiya hiyo na kuwapongeza wakina mama ambao siku hiyo ilikua maalumu kwao
 Wageni walioalikwa na Jumuiya kwenye Hafla hiyo wakielezea jambo.
 Watanzania wa North Carolina wakiwa wamejumika pamoja kuadhimisha siku ya kina mama Duniani

Kwa picha zaidi Bofya Read More


No comments: