1.OFISI YA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu
Stephen M. Wasira, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala
Bora)
Ndugu
George Mkuchika, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu
Celina Kombani, Mb.,
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu
Samia H. Suluhu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa,
Mb.,
3. OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu
Mary M. Nagu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu
Hawa Ghasia, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu
William V. Lukuvi, Mb.,
4. WIZARA
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu
Samuel J. Sitta, Mb.,
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu
Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,
Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu
Sophia M. Simba, Mb.,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu
Bernard K. Membe, Mb.,
Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu
Mathias M. Chikawe, Mb.,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu
Emmanuel Nchimbi, Mb.,
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,
Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu
Gaudentia M. Kabaka, Mb.,
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,
Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof.
Mark Mwandosya, Mb.,
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,
Waziri wa Uchukuzi
Dr.
Harrison Mwakyembe, Mb.,
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,
Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu
Khamis Kagasheki, Mb.,
Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,
Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,
Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,
5. NAIBU MAWAZIRI
*OFISI YA RAIS
HAKUNA
NAIBU WAZIRI
6.
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Naibu
Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu
Charles Kitwanga, Mb.,
7. OFISI
YA WAZIRI MKUU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu
Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu
Aggrey Mwanry, Mb.,
8. WIZARA
MBALIMBALI
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima,
Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu
Pereira A. Silima, Mb.,
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu,
Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu
Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu
Mahadhi J. Maalim, Mb.,
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu
Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu
Ummy A. Mwalimu, Mb.,
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu
Philipo A. Mulugo, Mb.,
Naibu Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,
Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu
Gerson Lwenge, Mb.,
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,
Naibu Waziri wa
Nishati na Madini
Ndugu
George Simbachawene, Mb.,
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu
January Makamba, Mb.,
Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu
Amos Makala, Mb.,
Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,
Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu
Stephen Maselle, Mb.,
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu
Angela Jasmine Kairuki, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu
Janet Mbene, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu
Saada Mkuya Salum, Mb.,
4 comments:
Idadi ya mawaziri na manaibu wao ni karibu 50 ambao karibu wote ni madaktari (PhD holders). Idadi ya watanzania ni miliono 40. Zanzibar inaukubwa karibu sawa na DC. Kuna Rasi, makamu wa kwanza wa rais, makamu wa pili wa rais, mawaziri na manaibu wao karibu 30. Wengi wao pia ni madaktari (PhD holders). Tanzania ina ukubwa karibu sawa na state za Texas na Oklahoma. Marekani ina rais na makamo. haina waziri mkuu ila ina mawaziri 15 na manaibu 15 ambao hakuna hata mmoja mwenye shahada ya udaktari, wakati idadi ya watu ni karibu milioni 350. Nfahamu kuwa siyo vizuri kulinganisha Tanzania na Marekani. Kama Doctor Kikwete angekuwa ni rais wa marekani, angekuwa na makamo wake na mawaziri wangapi????
hahahah !! u got the point, swala ni kwamba kubebana ndio kunaleta mawaziri wengi,pia asie na wizara maalum,what the heck is that?na usipoangalia hao waliotoka bado watapewa nafasi nyingine bila kujali kwamba hizo za mwanzo inaelekea ziliwashinda.
Na huyo aliyechaguliwa kuwa waziri wa Ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi hapo ipo kazi sana maana huyo mama prof.Anna Tibaijuka ni muhaya!na kama mnavyojua wahaya ni watu wamoja wabinafsi sana!kwahiyo watapeana viwanja na nyumba wenyewe kwa wenyewe!Wahaya wengi watahamia Dar sasa! Mh.Rais uwe macho nao!
Na inashangaza sana kwa Mh. Rais bado anawarudisha tena baadhi ya mawaziri wa zamani kuwapa nafasi tena ya uwaziri!Kwa mfano John Magufuli,Abdallah Kigoda,Samuel Sitta,Sophia simba,Mery Nagu n.k! Mh.Rais angepaswa kuwachagua mawaziri wapya na vijana wenye ari na nguvu mpya kwenye kazi zao za kujenga Taifa!lakini sio kuwarudisha watu madarakani waliochoka na wameshaididimiza nchi tokea miaka iliyopita enzi za Tano hadi sasa nchi bado ipo vile vile bila hata ya maendeleo yeyote na maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi!Kwa ubinafsi wao kila anayepata madaraka basi anajifaidisha mwenyewe tu lakini sio kwa faida ya nchi!Hao mawaziri waliochoka kiakili na kiumri ingewabidi wachukue pensheni yao na wakae majumbani kwao na wapumzike,Sasa wawaachie madaraka vijana wenye nguvu na mtazamo mpya wa maendeleo ya nchi!Ama sivyo nchi itaendelea kudidimia kiuchumi na kimaendeleo kwa sababu ya baadhi ya wazembe wanaong`ang"ania madaraka na kulindana kwa maslahi yao Wenyewe!
Post a Comment