Juu na chini ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akipa mkono bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpik yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.Picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.comwww. superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment