Mahali pa kukutania wahudumu wa mkutano ili
kupanga mikakati ya jinsi ya kuwahumia watu siku hiyo.
MAHALI; 12805 Georgia Avenue,
Silver Spring MD 20906.
MUDAS NA SIKU: Muda ni saa kumi jioni siku ya Jumapili hii.
TAREHE: 05/13/2012.
NAMNA YA KUFIKA: Kwa metrol rail, tumia RED LINE hadi Glenmont Metrol Station.
Kwa metrol buses hasa toka Hyattsville area tumia C4 hadi
Wheaton Metrol Station, then tumia Y5,Y7,Y8 na Y9 yaendayo
Montigomery General Hospital na Georgia Avenue - ICC PARK &
RIDE, Shukia kituo cha pili toka Glenmont Metrol Station.
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU 202 520 3243 KWA MAELEZO ZAIDI.
MUNGU AWABARIKI WAHUDUMU WOTE NA KARIBUNI TUMTUMIKIE MUNGU
Mch. Malekela MJ
Katibu wa Kamati na mwenyeji wa mahali pa kukutania.
No comments:
Post a Comment