Huyu Leticia nae atulizane haeleweki mara yuko USA mara CHADEMA ndo maana anapatwa na matatizo kama hayo. Mara watoto wake anawaachia Wakanengue Viuno na Muibaji kwa jina na Linah. Loo!! wewe Leticia unaliharibu jina na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere ambaye angekuwa hai angesikitika sana kuona Wajuu zake wanavaa nusu Uchi na Kungengua Vioni. Ni aibu kwa dada mzima kama wewe ambaye ulitakiwa Uwakanya Mabinti zako. Badala ya kusoma na kupata Elimu ya Juu unawashauri wanengue Viuono. Polee saana dada. Uwe na msimamo wa maisha yako yote haya hayatakupata.
1 comment:

Post a Comment