Frank (kushoto) na Peter wakianza kunyama choma katika muendelezo wa Memorial Weekend inayofanyika kila mwaka mwishoni mwa kila mwezi May Columbus, Ohio.
Wadau wa Columbus, Ohio wakiwa kwenye Choma nyama
Wadau wakijumuika pamoja kwenye vhoma nyama inayoendelea hapa Whitestone Park Of Roses iliyopo mtaa wa North High.
Walimbende wakisubili kuchukua nyama.
Walimbwende wakipata ukodak moment huku choma nyama ikiendelea kuwa tayari.
Wadau wa Massachusetts wakiwa nao kwenye Park
Frank (shoto) na Peter wakiendela kuonyesha Lufundi wa Choma Nyama.
mpende mwanao Peter akiendelea na choma nyama huku akimbembeleza na kumpa Clasi ya jinsi ya kuchoma nyama.
Peter (shoto) na Dj Kvelli wapili toka shoto wadau waliojumuika jioni hii kwenye Choma Nyama.
No comments:
Post a Comment