ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 26, 2012

TANZANIA DMV YAFUNGWA 3-1 NA MOROCCO

Timu ya Tanzania DMV inayoshiriki ligi ya DMV DIASPORA 2012 WORLD CUP leo kwenye uwanja wa Greencastle, Maryland imefungwa na Timu ngumu kwenye Mashindano hayo, Morocco bao 3-1 katika mchezo uliokua wakusisimua kwa timu zote kutandaza soka ya kitabuni.

Timu ya Morocco ndio timu pekee Group B ambayo imeshinda mechi zake zote. Timu ya Tanzania DMV mpaka sasa imeshinda mechi moja, imedroo mechi moja na imefungwa mechi mbili.

1 comment:

Anonymous said...

Hatuja fungwa Tanzania DMV- Amefungwa Jabiri Jongo na wapopo.