Wadau wakiwa kwenye nyama choma Jumamosi May 26, 2012 ambayo itaendelea leo pamoja na Mpira wa miguu kati ya Watanzania na Liberia mechi itachezewa Whitestone Park Of Roses ilyopo mtaa wa North High.
Wadau wakiendelea na Nyama choma.
wadau wakipata picha za hapa na pale wakiwa Park of Roses kwenye nyama choma.
Bidane akipata picha ya pamoja na Susan Malima.
wadau wakisalimiana baada ya kupoteana kwa zaidi ya miaka 12
Wachimba chumvi wakiwa kwenye nyama choma
Mpya akipata ukodak na Wachimba chumvi
Baba na wana katika ukodak moment.
RATIBA KAMILI
Sunday May 27, 2012 From 5:00 Pm - 8:00 Pm Soccer-Tanzania vs Liberia
(kama unaukanyaga njoo na njumu)
PLUS
Nyama Choma
WHITESTONE PARK OF ROSES,
3923 NORTH HIGH STREET,
COLUMBUS, OH 43214-3335
Sunday May 27, 2012 From 9:Pm Till Late-TLP (Trafic Light Party)-Dress Code-Red, Yellow & Green.
5817 Emporium Square,
Columbus, OH 43213
BOFYA HOTEL DEALS

No comments:
Post a Comment