ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 27, 2012

DMK KULONGA NA VIJIMAMBO KESHO JUMATATU

Dickson Mkama kesho Jumamtatu May 28, 2012,atalonga na Vijimambo sehemu ya I, kuelezea maisha yake kwa ufupi, na kwanini amejitumbukiza kwenye Uporomota, na Tatizo gani lililomkuta ambalo hatalisahau maisha yake yote,Usikose kumsikiliza.

No comments: