Baada
ya majadiliano ya mikutano miwili mfululizo kati ya wajumbe wa Executive
Committee na Board of Directors, wote kwa pamoja Tumepitisha kipengele muhimu
cha Jumuia yetu (Membership Fees and Registrations) kama ifuatavyo:
·
Registration
(Membership Card) Itakuwa $ 15.00
·
Subscriptions
(Monthly Installments of $10.00 for 12months) Njia za Malipo:
·
Tuma check or
Money Order kwenye P.O. Box ya Jumuia
ATC DMV
P.O.BOX 10398
SILVER SPRING MD 20914
Tafadhali andika address
yako kwenye bahasha ili tuweze kukutumia receipt yako pamoja na membership card
mapema iwezekanavyo.
·
Kwa Njia ya Bank:
PNCBANK
Account# 5313293767
Route# 054000030
Ukitumia njia hii
tafadhali mpigie simu mweka hazina ili aweze kukutambua na kukupatia receipt
yako mapema pamoja na membership card mapema iwezekanavyo.
·
Kwa maelezo zaidi
kuhusu membership fees tafadhali contact viongozi wa Jumuia.
Iddy Sandaly-President
Simu: 301-613-5165
Raymond Abrahamu-Vice
President
Simu: 301-793-4467
Amosi Peter Cherehani-
Secretary
Simu: 240-645-2131
Genes Malasy-Treasurer
Simu: 301-367-8151
2 comments:
Ushauri. Itisheni mkutano wa watu wanaotaka kujiunga na umoja then all this can be done uso kwa uso. Unalipa malipo unapewa kadi. I think its less complicated than this.Hii itazua stories nyingi. I think most people wako interested kukutana nanyi kwanza rasmi kama viongozi wa jumuiya na kuzungumzia mambo ya jumuiya.
well said mjumbe hapo juu,nyongeza we need to be told hizi fedha za nini?it happened before viongozi walizitumia kupunguza matitizo yao binafsi
Post a Comment