ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 5, 2012

DMV YAJIFUA VIKALI KWA MPAMBANO NA ETHIOPIA


 Juu na chini ni timu ya mpira wa miguu ya DMV ikifanya mazoezi kwenye wanja jipya la HEURICH uliopo Hyattsville, Maryland wakijianda kwa mechi kali na Ethiopia itakayochezewa viwanja vya Greencastle uwanja # 5 May 12, 2012 saa 6 mchana (12 noon)

No comments: