Sydney Malasy akifuatilia misa kwenye siku yake maalum leo alipopata kumunyo ya kwanza katika kanisa katoliki la Holy Reedemer lililopo Kensington, Maryland, Nchini Marekani.
Sydney Malasy akiwa wenzake waliopata komunyo ya kwanza leo katika kanisa katoliki la Holy Reedemer lililopo Kensington, Maryland.
Sydney Malasy na wenzake wakipata picha ya pamoja na padre wa kanisa hilo aliyeendesha misa hiyo pamoja na mwalimu wao wa shule ya Jumapili.
Sydney Malasy akipata picha ya kumbukumbu na Baba yake Mr. Genes Malasy bada ya misa kwisha.
Sydney Malasy akipata picha ya kumbukumbu na mama yake.
Sydney Malasy akipata picha ya pamoja na Uncle Edgar.
Sydney Malasy akipata picha ya pamoja na Uncle Dave
Sydney Malasy akipata picha ya pamoja na Bibi na Babu Brigedia Jenerali Maganga
Sydney Malasy akipiga picha ya pamoja na marafiki zake wa karibu waliofika kushuhudia siku hii maalum kwake.
Ndungu, jamaa na marafiki waliofika kanisani hapo kushuhudia kukominika kwa Sydney wakifuatilia misa.
Baba, Mama na Watoto wakipiga picha ya familia baada ya Misa kwisha.
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kanisani hapo wakipata picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment