Helena Nyerere akiwa na Mama yake Mhe. Leticia Nyerere, Mbunge viti maalum (CHADEMA) wakiwa Baltimore wakielekea shuleni kwenye Prom ya class 2012, Largo High School.
Helena Nyerere akipata picha kabla ya kuelekea shule ya Largo kwenye Prom ya Class 2012.
Juu na chini ni Helena Nyerere akipata picha ya kumbu kumbu kabla hajaelekea Largo Maryland, kwenye shule yake kujumuika na wanafunzi wenzake kwenye Prom ya Class 2012 shuleni hapo.
Juu na chini ni Helena Nyerere akiwa na Tarehe wake (Date) Marcus wakijiandaa kwenda kwenye Prom ya Class 2012, Largo High School ilyopo Largo, Maryland.
No comments:
Post a Comment