ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 29, 2012

HELENA NYERERE AKAMATA NONDOZZ YA HIGH SCHOOL

Helena Nyerere akionyesha Nondo yake aliyokamata Jumanne May 29, 2012 kutoka Largo High School sherehe ziliyofanyikia kwenye uwanja wa ndani wa shule hiyo.
 Helena Nyerere akipata picha ya pamoja na mama yake Mhe.Leticia Nyerere Mbunge Viti maalum CHADEMA.
 Helena akipata picha ya pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye sherehe za kukamata Nondoz iliyofanyikia shuleni hapo
 Helena akipata picha ya pamoja na dada yake Julia (kushoto) na Mama yake Mhe. Leticia Nyerere, Mbunge viti maalum, CHADEMA.
 Helena akipata picha ya pamoja na Liberatus Mwang'ombe ambae alihudhulia sherehe za kukamata Nondoz zilizofanyikia uwanja wa ndani wa kuchezea mpira wa kikapu wa Largo High School.
Helena akipata picha ya pamoja na mmoja ya wanafunzi waliokamata Nondoz Jumanne ya May 29, 2012.

No comments: