ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 18, 2012

JK akiwa State Department kwa Mama Hillary Clinton

Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa na Mama Hillary Clinton alikowakaribisha kwa chakula cha usiku katika State Department jijini washington DC. Wa tatu kulia ni Mkuu wa USAID Dr Rajiv Shah. 
Picha na Ikulu ya Dar es salaam

No comments: