Joy Andy Na Smile Kubwa Usoni Baada Ya Ku Graduate City University of New York Queens College. Na Kukamata Ndondo Za Bachelor Of Business Administration In International Business, And Bachelor Of Arts In Economics. Vijimambo Inakupongeza Na Kukutakia Mafanikio Ambayo Utayatumia Kutokana Na Elimu Hiyo. |
Hapa Ni Ukodak Moment Na Marafiki Zake. Picha na Ny Ebra!! |
1 comment:
Congratulations my Daughter!
Post a Comment