KESHO JUMATATU, VIJIMAMBO KULONGA NA ZAVARA MPONJIKA
Kesho Jumatatu May 21, VIJIMAMBO Italonga na Zavara Mponjika (Ramson),ambaye anaaminika kuwa ni moja ya nguzo kubwa na chimbuko la kweli la hiphop ya nyumbani. Yeye ni mmoja ya waanzilishi wa kundi la KWANZA UNIT, Usikose kumsikiliza
No comments:
Post a Comment