kutoka kushoto ni Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali,Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar na Liberata Mulamula msaidizi mwandamizi wa Rais maswala ya Diplomasia. Nguo aliyovaa Mhe. Mwanaidi Maajar imedizainiwa na Missy Temeke, mwenye maskani yake Silver Spring, Maryland.
2 comments:
gud job miss temeke,all the best
Missy keep it up utafika mbali nakuaminia, Balozi amependeza sana .
Post a Comment