1. Kwa wanaotumia metrol rail toka popote pale, hakikisha unapanda GREEN line hadi
College Park Metrol Station, then panda METROL BUSES ROUTS NUMBER F6 and
C8 yatakupitisha hadi ukumbini. Shukia kituo cha library.
2. Kwa wote wanaotokea Green belt area, tumia metrol bus C2 na R3 ushukie library.
Pia kwa wote wanaotokea West Hyattsville tumia metrol BUSES F6 NA F8.
3. Watu wanaotokea Langly Park Takoma tumia bus C2 na wanaotoke White Oak panda
metrol bus C8 hadi University of Maryland, kituo chako ni Library.
Muda wa kufika kwa wote ni saa 11jioni, Mungu awabariki sana.
IMELETWA KWENU NA KATIBU WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO,
Mch. Malekela MJ 202 520 3243.
No comments:
Post a Comment