ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 21, 2012

TAARIFA YA KISOMO (SUNDAY, JUNE 3)

Asalaam Alaykum:

Dada yetu Attiye Ferej & Mumewe Uncle Eddie Ameir (Brother wa Uncle Seif Ameir), pamoja na watoto wao, Salama Ameir na Mumewe Abdulla Riyami :-

Wanatuarifu kisomo cha kumuombea marehemu mpendwa Kaka/Mjomba wao Jumanne Ferej, kilichotokea nyumbani TZ.

Kisomo kitakuwa (InshaAllah):

Hillandale Local Park
10615 New Hampshire Avenue
Silver Spring,  MD  20903
Date: June 3 (Sunday)    Time: 5:30PM

Tafadhali tunaombwa tujiunge pamoja nao na kila atakayepata taarifa hii amuarifu mwenziwe.

Shukran.

(Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajoun)

No comments: