Katika mpambano huo wa kesho ambao utakuwa wa ubingwa wa Bantam weight (53.5kgs) ubingwa wa taifa utakaosimamiwa na TPBO na kutanguliwa na mapambano ya utangulizi ambayo ni Jafar Majia na Daud Muhunzi, Mustafa Doto na Amos Mwamakula.
Feather weight- Doi Miyeyusho atacheza na Jumanne Mtengela raundi sita, Light weight- Jafar Majia na Daudi Muhunzi raundi sita,
Middle weight-Francis Suba na Ibrahim Tampa raundi sita, Fly weight-Sadat Miyeyusho atacheza na Swedi Hassan, Martin Richard na
Yohana Thobias.
Tasenga na Bigright Promotion wamejipanga vema kuhakikisha mapambano yanakwenda vizuri na ulinzi utakuwepo wa uhakika
burudani za muziki toka kwa Karapina na show za mabondia wadogo pia zitakuwepo.
No comments:
Post a Comment