KESHO ALHAMISI MAY 10, 2012 KUTAKUWA NA MAZOEZI KWA WOTE WANAOPENDA KUCHEZA MPIRA WA MIGUU MEADOWBROOK PARK KUANZIA 5 PM LEO JUMATANO MAZOEZI YATAFANYIKIA HYATTSVILLE KWENYE WANJA JIPYA,TAFADHALI TUFIKE KWA WINGI NA UKIPATA TAARIFA HII MTAARIFU MWENZIO
No comments:
Post a Comment