ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 9, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI IKULU KWA KONGAMANO LA UCHUMI LA KIMATAIFA KWA AFRICA

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
 Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt  Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012  ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.

PICHA NA IKULU

No comments: