ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 26, 2012

MEMORIAL WEEKEND DAY I IN COLUMBUS, OHIO

 Walimbwende wakiingia kuselebuka na kuanza Memorial weekend kwa African Flava Night kwenye kiota cha The Palace on the Square.
Juu na chini wabongo wa Columbus, Ohio wakiwa na marafiki zao kutoka majimbo mengine wakiselebuka na kula ile kitu Roho inapenda.
 Wabongo waliokuja kwenye Memorial Weekend, Columbus, Ohio wakipata ukoda moment.
 Wabongo kutoka Massachusetts wakiwa ndani ya mjengo
 Juu na chini ni Walimbwende wa Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
 wahudumu wa vinywaji wakiwa kazini
 Wachimba chumvi ndani ya mjengo
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 Wakaazi wa Columbus, Ohio wakipata Ukodak Moment.
Akili  Mtaalam akiwa na mama mwenye nyumba wake.
 Wadau wa Columbus, OH, Durham, NC na Cleveland wakipata picha ya pamoja.
 Dj Kvelli akipata picha ya pamoja na..........
 wadau wa Columbus Ohio wakipata picha ya pamoja.
 Mdau Alban na Kimario wa Atlanta, Georgia.
 wadau wa Columbus na vitongoji vyake wakipata picha ya pamoja.
 Akili Mtaalam akiwa na mama mwenye nyumba wake.
 Mchimba akipata Ukodak na Pam Lolo

Mchimba akionyesha saini yake ya GONGA

No comments: